

Picha juu zinaonyesha zoezi likiendelea usiku na
mchana

Kikosi cha Huduma ya Kwanza Kipo Kwa zaidi ya masaa 48
sasa
Kazi ya uchimbaji wa kifusi
ukiendelea



Sehemu ya kifusi kizito kikiwa tayari
kuchimbuliwa


Kazi ya Uchimbaji wa kifusi ikiwa inaendelea kwa masaa
zaidi ya 48 mpaka sasa



Waziri wa Mambo ya Nchi Dr Emmanuel Nchimbi akipata
maelezo kutoka kwa Rais wa Jumuiya ya shia nchini Jinsi Hali ya Ukoaji na
uchumbaji wa Kifusi unavyoendelea

Waziri wa Mambo ya Ndani Dr Emmanuel Nchimbi akipata
Maelezo ya jinsi hali ya ukoaji na uchumbaji wa kifusi zinavyoendelea kutoka kwa
Kiongozi wa ukoaji kutoka jeshi la wananchi wa
Tanzania(JWTZ)

Baadhi ya Wananjeshi wa Jeshi la wananchi wa
Tanzania(JWTZ) na Wananchi mbalimbali Wakipata kifungua kinywa baada ya kufanya
kazi kwa muda wa masaa 48

Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)na Kile
cha Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)vikiendelea na Zoezi la ufukuaji wa kifusi na
ukoaji

Rais Jakaya Kikwete akifuatilia zoezi la uokoaji Kwa Siku ya pili
kwenye jengo la ghorofa 16 lililoanguka katika Mtaa wa Indira
Gandhi jana. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman
Kova na Mkurugenzi wa Kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Meja Jenerali,
Sylvester Rioba. Picha Zote na Fidelis Felix na Walji
Ali
Post a Comment