Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin Mwakajinga
(katikati) akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini
Iringa, na Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Meneja
Mauzo wa Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea, Raymond Degela. Upandaji
mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha
wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha
taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika
viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Meneja wa Kinywaji cha
Grandmalt, Consolatha Adam akipanda mti ikiwa ni sehemu kampeni ya kinywaji cha
Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali
ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa
jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa wakipanda chuoni hapo, ikiwa ni sehemu ya
kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza
kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama
Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu
Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya
Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Netball
kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya
kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa
jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya
Tumaini na Ruaha vya Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball
kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya
kuwashindanisha wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa
jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya
Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa
Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo
kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo
kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini
akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Iringa kwenye Uzinduzi
wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo
kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo
kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Post a Comment