Kijana mmoja ambaye hakufamika kwa jina
anayetuhumiwa kuwa mwizi akiwa hoi baada ya kupigwa na wananchi wenye
hasira,Ndugu zangu watanzania ni vibaya kujichukulia sheria mkonono,Si vema
kumuhukumu mtu ni vizuri kuviachia vyombo vya sheria vichukue
sheria
Post a Comment