Mpishi wa Bia wa kampuni
hiyo, Kelvin Nkya, akiwapatia maelezo maofisa wa majeshi ya Rwanda na Ghana,
kuhusu idara mbalimbali za uzalishaji walipotembelea kiwanda cha bia cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam hivi karibuni. Maofisa hao waliongozwa na
maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD
MWAIKENDA
Meneja Uhusiano Mambo ya
Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo akiwapatia maelezo ya awali
maofisa hao wa kijeshi kutoka nchi hizo mbili.
Maofisa wakiwa idara ya
upishi wakipata maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kisasa kwa kutumia
kompyuta
Meneja Uhusiano Mambo ya
Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Orio (kushoto) akisalimiana na
maofisa wa jeshi la Rwanda na Ghana waliofika kutembelea utendaji wa kampuni
hiyo, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mpishi wa Bia wa TBL,
Kelvin Nkya akiwapatia maelezo maofisa hao namna bia inavyopikwa kwa kutumia
kompyuta.
Maofisa hao wakiangalia
kwenye kompyuta jinsi bia inavyopikwa
Baadhi ya maofisa wakijaza
majina yao kwenye kitabu cha wageni TBL
Brigedia Jenerali Jean
Jacques Mupenzi kutoka Jeshi la Rwanda, akimkabidhi zawadi Meneja wa Kiwanda cha
Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine baada ya kutembelea kiwanda
hicho.
Baadhi ya maofisa
wakitembelea kiwanda hicho, idara ya packaging
Meneja wa Kiwanda cha TBL
Dar es Salaam, Calvin Martine akimpatia zawadi Brigedia Jenerali Jean Jacques
Mupenzi kutoka Jeshi la Rwanda
Maofisa wakipata maelezo
katika idara ya uchachuaji bia
Maofisa hao wakiwa katika
picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumalizika kwa ziara
hiyo
Post a Comment