Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya
Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia), akizungumza wakati mkutano na
wanachama wa NMB Business Club, Kanda ya Temeke, uliofanyika leo,
Mbagala, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa klabu hiyo,
Ezekiel Gutti, Meneja wa Mikopo Midogo Midogo ya Biashara wa benki hiyo,
Mashaga Changarawe na Loelia Kibassa ambaye ni Meneja wa Mikopo ya Kati
ya Biashara.
Mwanachama wa NMB Business Club Kanda ya Temeke, Hermetus
Urassa akichangia mada wakati wa semina ya wajasiriamali iliyoandaliwa na benki ya NMB jijini Dar es Salaam.
Urassa akichangia mada wakati wa semina ya wajasiriamali iliyoandaliwa na benki ya NMB jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NMB Business Club Kanda ya Temeke, Ezekiel Gutti akifafanua jambo
wakati wa mkutano wa wanachama wa club hiyo jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Meneja wa Mikopo Midogo Midogo ya Biashara wa benki hiyo,
Mashaga Changarawe na Meneja wa Mikopo ya Kati ya Biashara, Loelia Kibassa.
Mmoja wa wajasiriamali akichangia mada.
Meneja wa NMB tawi la Temeke, Halord Lambileki akiwa maofisa wa NMB.
credits: Lukaza
Post a Comment