Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar [Picha na Ali Meja]
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa Vibali
vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza
wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo
ZanzibarWaziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiuliza jambo kwa Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar Mwinchumu Hassan Salum kwenye chumba cha Kutunzia
Kumbu kumbu za Nyaraka za Kuzaliwa wakati wa Kuomba passpoti
Nchini
Post a Comment