Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo
amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao
hapa.Walioziwasilisha hati zao ni pamoja na Balozi Mpya wa Morocco nchini
Tanzania Mhe.Abdelilah Benryane, Balozi mpya wa Hungary Mhe.Sandoz
Juhasz,Balozi mpya wa Austria Mhe. Christian Hasenbichler na Balozi Mpya wa
Chille nchini Mhe.Konrad Paulsen.Pichani Balozi Mpya wa Morocco Mhe.Abdelilah
Benryane akiwailisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Loading...
Home » Unlabelled » Rais Jakaya Kikwete Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Ikulu Jijini Dar es Salaam
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA4 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment