Balozi mpya wa Hungary Sandoz
Juhasz
Balozi Moya wa Austria nchini Tanzania Christian
Hasenbichler.
****
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za
utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao
hapa.Walioziwasilisha hati zao ni pamoja na Balozi Mpya wa Morocco nchini
Tanzania Mhe.Abdelilah Benryane, Balozi mpya wa Hungary Mhe.Sandoz
Juhasz,Balozi mpya wa Austria Mhe. Christian Hasenbichler na Balozi Mpya wa
Chille nchini Mhe.Konrad Paulsen.Pichani Balozi Mpya wa Morocco Mhe.Abdelilah
Benryane akiwailisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(Picha na Freddy
Maro).
Post a Comment