Mtuhumiwa namba moja wa
mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kushoto) akiwa chini ya
ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam leo pamoja na watuhumiwa wenzake
kumi. Mtuhumiwa namba moja wa
mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kulia) na watuhumiwa
wenzake kumi wakisubiri kupandishwa kizimbani, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam leo.Mtuhumiwa namba moja wa
mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (aliyevaa kanzu nyuma)
akiwa na watuhumiwa wenzake mara baada ya kupandishwa kizimbani na watuhumiwa
wenzake kumi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Credits: Habari Mseto Blog
Post a Comment