Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda jana amepokea shilingi milioni
kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa
16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni
Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan
International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu
hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo
yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es
salaam
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa
wengine mara baada ya kupoke msaada wa fedha hizo.Picha na Chris
Mfinanga
Post a Comment