Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Balozi wa
Uingereza Nchni Tanzania, Diana Melrose, wakati alipofika Ofisini kwa Waziri
Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam, leo Aprili 24, 2013 kwa mazungumzo. Picha
na Ali Meja
Post a Comment