Naibu Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu)
Dk Enos Buku akifungua Semina
hiyo.
Naibu Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu)
Dk Enos Buku (wapili kushoto) akizungumza wakati wa
ufunguzi wa semina hiyo ya siku tatu. Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Baraza la Biashara la Jumuia ya Afrika Mashariki, Andrew Luzze
Kaggwa na kulia ni Mwandishi Mkongwe wa habari, Salim Salim.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Jumuia
ya Afrika Mashariki, Andrew Luzze Kaggwa, akizungumza wakati wa semina hiyo kwa
waandishi wa habari wa Jumuia ya Afrika Mashariki.
Naibu Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu)
Dk Enos Buku (kulia) akijadiliana jambo na Mratibu wa
Mafunzo EAC-EABC-GIG, Sukhdev Chhatbar, mjini Arusha leo wakati wa siku ya mwanzo ya ya mafunzo ya
siku tatu ya mtandao wa Waandishi wa
biashara Afrika Mashariki. Waandishi wa habari zaidi ya 30 na maafisa wa Mawasiliano kutoka nchi
wanachama wa EAC wanahudhuria kuhudhuria semina
hiyo.
Washiriki wakipiga picha ya pamoja na mgemni
rasmi.
Post a Comment