Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la
Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka
Kenya, Mhe Phyllis C.
Kandie akila kiapo jana.
Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri
la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii,
kutoka Kenya, Mhe Phyllis C. Kandie akila kiapo jana mchana kama ofisa maalum katika Bbunge la Afrika Mashariki (EALA)
katika Mkutano wa 6 wa Kikao
cha 1 cha Baraza 3 ulianzia mjini
Kampala, Uganda jana.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki
kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akichangia hoja katika Kikao hicho cha Bunge
mjini Uganda jana.
Kikao cha Bunge
kikiendelea
Post a Comment