Katibu
wa Chama cha Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Tawi
la Tanzania Dkt Thomas Kashilillah akimpa muhtasari Mwenyekiti wa CPA
Tawi la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) wakati wa kikao cha Kamati
ya Utendaji kilichofanyika kwenye Ofisi ya Bunge mjini Dodoma mapema
leo.
Afisa Dawati wa CPA Ndugu Saidi Yakubu akiwapitisha wajumbe kwenye dondoo za taarifa ya kikao kilichopita
Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania Mhe. Mussa Aaazn Zungu akiendesha kikao cha Kamati Tendaji
Mhe.
John Shibuda (kulia), Mjumbe, akichangia kwenye kikao hicho ambacho
kinafanya maandalizi ya kumchagua Mwenyekiti wa CPA tawi la Afrika.
Wajumbe wa kikao hicho wakisililiza maelekezo ya Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania.
Na Prosper Minja – Bunge
Post a Comment