Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi wa jiji la Yokohama
muda mfupi baada ya kupanda mti aina ya Jacaranda kutoka Tanzania katika
bustani za jiji hilo leo mchana.Watatu kushoto ni Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete na wapili kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Japan
Salome Sijaona. Hafla hiyo ya upandaji mti iliandaliwa kwa heshima ya
Rais Kikwete na viongozi wa jiji la Yokohama ambao walikuwa wenyeji wa
mkutano wa tano wa TICAD.(picha na Freddy Maro)
Loading...
Post a Comment