Inasikitisha
kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na
kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani
analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu
akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai.
Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika
kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)
Joyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi
Post a Comment