Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakinukuu maelekezo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa mkuranga na Waziri wa Kilimo na Ushirika, Adam Malima, Bungeni mjini Dodoa Juni 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma 24,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoo) na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto) na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment