Ukifatilia ziara ya Obama
Southafrica, utaona jinsi media za kwao zilivyokuwa busy ku speculate
mategemea ya wananchi kwa ujio wa obama. Kwetu TZ ni tofauti media na
hata watu wenye nyazifa serikalini wapo busy ku-discuss waziri gani
atashikana mkono na obama na nani hatashikana mkono na obama...Kweli
hili ni muhimu_
Mwisho tukija humu na mitaani
tunadanganyana sana kuhusu western kuja africa kuwa ni kwa mabaya tu.
Sikiliza speech ya Obama southafrica ametuambia ukweli tunatakiwa
kuuliza mambo ya msingi na sio fikira zetu mafano amesema marekani haina
shida na energy ya africa kwao wanayo na bado wanazalisha
sana...akaenda mbalia akatwambia tusifikirie kusaidiwa tu na mataifa ya
nje, bali tuangalie misaada hiyo na faida zake kwa africa na tuulize
mambo ya msingi kwenye misaada hiyo......ahahha hapa kiongozi obama
kanaifurahisha utakuta wengi wetu huwa hatunajadili mambo ya msingi bali
tunajadili udaku mafano eti wachina na marekani hawapatani so wat lol
Source:Jamii Forums
Post a Comment