WIZARA YA
UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056,
DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
25/06/2013.
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Mara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Mtwara na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na
Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Morogoro na
Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na
Pwani]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora]
:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya
jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA
MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:32
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:14
|
DODOMA
|
26°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:55
|
MBEYA
|
22°C
|
12:34
|
MWANZA
|
30°C
|
12:49
|
TABORA
|
28°C
|
12:43
|
TANGA |
29°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:14
|
PEMBA
|
28°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
Makubwa Kiasi.
.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne:
25/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Post a Comment