Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisoama hotuba ya kuahirisha kikao cha Bunge Mjini
Dodoma Juni 28,2013. Kulia ni Spika wa Bunge Anne makinda. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Spika wa Bunge, Anne Makinda baada ya
kuashirishwa kwa kikao cha Bunge Mjini Dodoma Juni 28, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika
wa Bunge Mama Anne Makinda akizungumza na mke wa Waziri Mkuu, Mama
Tunu Pinda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 28,2013. (Picha na
Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakizungumza na Spika wa Bunge Mama
Anne Makinda (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni
28,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kipongezwa na mkewe Tunu kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Juni 28,2013 baada ya hotuba yake ya kuahirisha kikao
cha Bunge Mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment