Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Bi. Ingiahedi
Mduma akiwa na washiriki wa nchi mbalimbali wakati wa matembezi ya hiari wakati
wa kukamilisha maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini
Ghana.
Watanzania wakiwa kwenye matembezi ya hiari
pamoja na washiriki wa nchi zingine wakati wa kukamilisha maonyesho ya wiki ya
utumishi wa umma Nchini Ghana.
Washiriki wa Tanzania na washiriki wa nchi
zingine wakisubiri kuanza kwa matembezi ya hiari wakati wa kuadhimisha maonesho
ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana.
Kikundi cha ngoma cha Ghana kikiburudisha wakati
wa siku ya kutoa tuzo kwa washindi wa maadhimisho ya maonesho ya wiki ya
utumishi wa umma nchini Ghana.
Watanzania wakiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi wakishangilia kwa kishindo
ushindi waliopata katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma nchini
Ghana.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akiwa na baadhi wa washiriki
waliohudhuria katika siku ya kufunga maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini
Ghana.Picha zote na Scola Malinga, Wizara ya
Fedha-Tanzania
Post a Comment