Jamaa mmoja
amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi
kubwa ya kumpggia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea.
Walioshuhudia tukio hilo wamesema treni hiyo ilipiga honi lakini jamaa alikuwa
ameweka Head phones masikioni. Baada ya kupatiwa huduma ya kwanza, alipekwa
hospitalini kwani yawezekana ameumia kwa ndani.
on Thursday, July 4, 2013
Post a Comment