Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PAPA JOHN PAUL II KUWA MTAKATIFU

Papa John Paul II atapewa Utakatifu baada ya Vatican kuthibitisha muujiza wa pili inayosema ulitokea kutokana na sala zake.
Baba Mtakatifu wa sasa Francis I amehakiki muujiza huo, akisema unatoa nafasi kwa John Paul aliyezaliwa Poland kutangazwa Mtakatifu baadaye mwaka huu.
John Paul II, aliyezaliwa Karol Jรณzef Wojtyล‚a mwaka 1920, alikuwa kiongozi wa kiroho wa waumini zaidi ya bilioni moja wa Kanisa Katoliki toka mwaka 1978, mpaka alipofariki mwaka 2005.
Vile vile, Francis I ametangaza pia kumpa utakatifu Papa mwingine, John XXIII, ambaye aliongoza kanisa Katoliki toka mwaka 1958 hadi 1963.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top