Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib
Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa
Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye
Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu
ya wakazi wa Mwanza na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo
kabambe.
Diamond akiwa amenyanyuliwa juu na
madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour
2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki
na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza
Mkali wa Ryms afahamikae kama Joseph
Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay wa Mitulinga akiwapagawisha vilivyo
wakazi wa Jiji la Mwanza waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba
kwenye Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika
kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na
maelfu ya wakazi wa Mwanza
Wanamuziki wakongwe katika medani ya
muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph Haule au
ukipenda waweza muita Profesa Jay wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki
waliofurika katika Uiwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki katika
muendelezo wa Maonyesho ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour
2013.
Mwanadada nguli katika tasnia ya
Muziki hapa nchini,Muite Bint Komando au Lady Jaydee akifanya vitu vyake ndani
ya jukwaa moja la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye
Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Wakongwe katika medani ya muziki wa
kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph Haule a.k.a Profesa Jay
wakionyesha uhodari wao kwa kulishambulia jukwaa mbele ya maelfu ya mashabiki wa
muziki waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni
mwa wiki.
Mwanamuziki bora wa Hip Hop hapa
nchini kwa mwaka 2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake waliofurika kwa
wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa
wiki.
Kala Jeremiah akiendelea kufanya vitu
vyake jukwaani.
Msanii Bob Junior akiimba moja ya
nyimbo zake wakati wa muendelezo wa awamu ya pili ya Onyesho la Kilimanjaro
Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.
Bob Junior na madansa
wake.
Mkali wa Miondoko ya Miduara,AT
akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba,jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mkali wa RnB,Ben Pol akifanya vitu
vyake jukwaani.
Roma Mkatoliki akifanya mambo yake
jukwaani.
Shangwe tupu zilitawala uwanjani
hao.
Ngoooshaaa.......
Ngoooshaaaa....Ngooooshaaaaaa....... au ukipenda waweza muita Fareed Kubanda kwa
jina alilopewa na Wazazi wake na pia waweza muita Fid Q akikamua vilivyo ndani
ya Uwanja wa nyumbani huku shangwe zikitawala uwanjani
hapo.
Fid Q na kamuzi lake likiendelea.
Mkali wa miondoko ya Ragger, Dabo
akipigwa tafu na msanii mwenzake,Had Man
Snura Mushi a.k.a Mamaa wa Majanga
akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake wa jiji la Mwanza waliofurika kwa
wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki, kushuhudia
onyesho la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Ilikuwa ni Nyomi la
hatariii..
Mie (shoto) nikiwa na Meneja Mauzo wa
TBL kanda ya Ziwa,Mdau Erick
Toka kulia ni Mie mwenyewe,Rama
(meneja wa Villa Park),Roma Mkatoliki pamoja na Mdau tukifatilia
show.
Dada Ester na
Snura.
Young Dee na mdau wa
EATV.
Show love on Back
stage.
Wadau wa Kampuni ya
Frontline.
Toka shoto ni DJ Mafuvu wa EATV,Hellen
Kazimoto,Ramadhan (Meneja wa Villa Park jijini Mwanza),Mdimu pamoja na Abdallah
Ambua.
Mdau Zeinul Mzige wa MO Blog akishow
love na Mwanadada Hellen Kazimoto walipokutana jijini
Mwanz
Post a Comment