Mchungaji Albogasti baada ya kuachiwa huru.
Akikumbatiwa na mpendwa
wake.
Wachungaji
wengine wakirudishwa rumande kwa muda kusubiri hukumu.
Wakirudushwa
rumande kwa muda.
Wakiwa
kizimbani kusubiri hukumu.
Umati
wa watu wakiwemo waliokuwa wateja wa Desi waliofika mahakamani hapo kujua hatima
ya fedha walizopanda wakitoka nje ya mahakama baada ya kuambiwa hakuna
chao.
Kesi hiyo iliyokuwa ikiunguruma mahakama ya Kisutu Jijini Dar karibu miaka mine iliyopita mahakama hiyo kupitia hakimu wake Aloyce Katemana ilitoa hukumu hiyo baada ya kulidhishwa na ushahidi uliotolewa upande wa utetezi na Jamhuri. Waliopanda Desi nao waambiwa wanakesi ya kujibu.
Picha juu ni baadhi ya matukio yaliyojiri mahakamani hapo.
Post a Comment