Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAN UNITED WALIVYOBEBA NGAO YA HISANI BAADA YA KUITUNGUA WIGAN KWA MAGOLI 2 KWA O KATIKA DIMBA LA WEMBLEY

 

 Meneja Mpya Wa Man U David Moyes akiwa ameshika ngao ya Hisani pamoja na Mchezaji wa Man U mara baada ya kukabidhiwa leo katika uwanja wa Wembley baada ya kuitungua Wigan Kwa Magoli 2 kwa 0. Hili ni Kombe la Kwanza kwa Kocha Mpya huyo wa Man United david Moyes
Wachezaji wa Man U wakishangilia Mara baada ya Kuibuka Kinara kwa kuitungua Wigan 2 kwa 0 katika Mchezo wa Kuwania Ngao ya Hisani uliofanyika Katika Dimba la Wembley Uingereza
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top