Kumbe muoga eenh? Rais wa Malawi, Joyce Banda akipiga magoti kumwamkia Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, katika moja ya matukio yaliyowakutanisha marais hao. Katika miaka ya hivi karibuni Tanzania na Malawi zimeingia kwenye mgogoro wa kugombea Ziwa Nyasa, ambapo Rais Banda anadai ziwa hilo ni Malawi.
Loading...
RAIS WA MALAWI BANDA AMWANGUKIA RAIS KIKWETE ... USHAHIDI HUU HAPA
Kumbe muoga eenh? Rais wa Malawi, Joyce Banda akipiga magoti kumwamkia Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, katika moja ya matukio yaliyowakutanisha marais hao. Katika miaka ya hivi karibuni Tanzania na Malawi zimeingia kwenye mgogoro wa kugombea Ziwa Nyasa, ambapo Rais Banda anadai ziwa hilo ni Malawi.
1 comments:
kidogo cha halali ni bora kuliko kingi cha haramu..!!!
ReplyPost a Comment