Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Moshi Mkoani Kilimanjarao jana.
Watoto hao na shangazi zao walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa masht
aka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30). Picha na mdau Joseph Lyimo.
Post a Comment