Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa leo Jumapili Sept 22, 2013
aliongea na Watanzania wa DMV na vitongoji vyake kuhusu mstakabali mzima
wa Tanzania, kisiasa, kiuchumi na huku akigusia mali asili na utalii,
kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi kinyemela.
Mwenyekiti wa CHADEMA DMV, Bwn. Kalley Pandukizi akizungumuza na
kueleza historia ya tawi la CHADEMA DMV lilivyoanzishwa kabla ya
kumkaribisha katibu wa tawi DMV, Bwn. Liberatus Mwang'ombe.
Bi. Josephine Mshumbuzi akiongea na wanaDMV kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu wa CHADEMA DMV Bwn. Liberatus Mwang'ombe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa akiingia ukumbini Mirage
Hall huku akiwa amefuatana na Mhe. Mbunge Leticia Nyerere, mchumba wake
Bi. Josephine Mshumbuzi wakiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA DMV Bwn. Kalley
Pandukizi na Katibu Mkuu wa CHADEMA DMV Bwn. Liberaus Mwang;ombe.
Juu na chini Dkt Wilboard Slaa akisalimiana na WanaDMV mara tu alipokua akiingia ukumbini.
Watanzania waliofika kwenye mkutano wa katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa uliofanyika leo Jumapili Sept 22, 2013.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Post a Comment