Baadhi
ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa
wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa
uchaguzi huo Zuwena Kipingu (katikati) pamoja na mwangalizi mkuu wa
uchaguzi Remmy Ngabo (kulia) baada ya uchaguzi huo uliofanyika jijini
Dar es Salaam, jana.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa mchezo wa Masumbwi Mkoa wa Dar es salaam Zuwena Kibena (katikati) akizungumza baada ya kumalizika uchaguzi huo na kupatikana viongozi wapya. |
Bondia Kalama Nyilawila na wenzake wakifuatilia uchaguzi huo. |
Mweka hazina wa klabu ya Ashanti ya Ilala Emanuel Mgaya akitumbukiza kula yake. |
Mngombea wa nafasi ya makamu Mwenyekiti, Timithi Kingu akijinadi wakati wa kuomba kula.
Baadhi ya viongozi wakipiga kula za kuchagua viongozi watakaokiongoza chama cha mchezo wa ngumi Mkoa wa ar es salaam DABA.
Mjumbe akiomba kura zake nafasi ya Katibu Mkuu |
Mjumbe akijinadi kuomba kura. |
Juma Uwesu akiomba kuchaguliwa kwa wapiga kula ujumbe wa maendeleo ya vijana |
Arnord Ngumbi akiomba nafasi ya ujumbe wa vilabu,wilaya na taasisi za umma |
Mazimbo
Ali akiomba kuwa mjumbe ili awaletee maendereo ya mchezo wa masumbwi
kwa upande wa wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuhakikisha wanashiriki
kama wengine
Post a Comment