Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini
Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia
kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini
Marekani.
Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90
ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es
Salaam Tanzania. Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 7, 2013
Na watangazaji wetu Bahati Alex kutoka Capital Radio Jijini Dar es
Salaam akiwa na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC
Post a Comment