Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK.Shein Amuapisha Msham Abdulla Khamis

 


TA1A0089
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,Dk.Mwinyihaji Makame,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar
Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji,wakiwa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,Msham Abdula Khamis,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0093
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu  Mjini
Unguja, wakati wa  hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,Msham Abdula Khamis,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0094
Makamu wa kwanza wa Rais Maalim  Seif Sharif Hamad,akisalimiana na Viongozi wakati alipohudhuria katika ukumbi wa Ikulu  Mjini Unguja, wakati wa  hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,Msham Abdula Khamis,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A0102
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Msham Abdula Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top