Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia
Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na
ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na
Vallejo, California.
Rais Dkt Jakaya Kiwete
akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na
Canada Kanali Adolph Mutta ambaye anachukua nafasi ya Brigedia Jenarali
Emamanuel Maganga ambaye amemaliza muda wake.
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Afisa Ubalozi Emmanuel Swere kwenye hotel ya Ritz Calton
wakati alipowasili Washington, DC.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Catherine Kijuu.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mfanyakazi wa Ubalozi, Love Maganga
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Mayor Mlima
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Mariam Mkama.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Carol Mbilinyi.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakzi wa Ubalozi Rani Servin.
Balozi wa Heshima kutoka San
Francisco California, Ahmed Issa akisalimiana na Afisa Ubalozi Suleiman
Saleh aliyesimama kati ni Sherry Julian (mke wa Ahmed Issa)
Picha ya pamoja.
Post a Comment