Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara
katika viwanja vya sabasaba mjini Bariadi leo katika ziara yake ya
mwisho kwenye wilaya hiyo mkoani Mkoani Simiyu ambapo kesho atamalizia
katika jimbo la Busega na kwenda moja kwa moja mkoani Mara tayari kwa
kuanza ziara nyingine ya siku sita mkoani humo.
Nape
nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi akiwahutubia wananchi wa
Bariadi katika mkutano huo uliofanyika mjini Bariadi leo.
Nape
nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi wa pili kutoka kulia
akifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo
pichani wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi katika viwanja vya
Sabasaba mjini Bariadi leo, kulia ni Dk Titus Kamani Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Simiyu na kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi Erasto
Sima na Pasacl Mabiti Mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa Doto
Nchege mwenyekiti wa kikundi cha waendesha bodaboda wa mjini Bariadi
baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba
mjini Bariadi
Waendesha bodaboda wakiondoka na pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa na katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo.
Post a Comment