Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Azaveli Lwaitama.
Askofu Zakaria Kakobe akihutubia katika Mkutano wa Katiba Viwanja vya Jangwani.
Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akihutubia katika Mkutano wa Katiba
Ulioitishwa na Umoja wa Vyama vya siasa, Wanaharakati na Viongozi wa
Dini.
Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu
akihutubia katika mkutano wa Katiba katika Viwanja vya Jangwani Dar es
salaam.
Mwanasheria wa Chadema Mh Mabere Marando akihutubia mamia ya wakazi wa Dar es salaam Katika Mkutano wa Katiba.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia akihutubia wakazi wa Dar es
salaam katika Mkutano wa suala la katiba uliofanyika katika viwanja vya
Jangwani.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano
uliojumuisha Vyama vya Siasa, Wanaharakati na taasisi za Dini kujadili
Suala la Mchakato wa Katiba unaoendelea.
Wenyeviti
wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati
wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba
mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ADC, Lucas
Limbu Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa
NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa
CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa. Picha Zote na Francis Dande
Post a Comment