Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mhe. Said Meck Sadick aongoza Uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani Dar se salaam

 

1
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza na viongozi mbalimbali wa usalama barabarani (Jeshi la Polisi) madereva na  wananchi katika hafla ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani leo jijini Dra es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote” 2Mwenyekiti wa kamati ya maaandalizi ya maadhimisho hayo Elifadhili Mgonja akizungumza na viongozi mbalimbali wa usalama barabarani (Jeshi la Polisi)  madereva na  wananchi katika hafla ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani leo jijini Dra es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
  3
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjemwa akiwasalimia wananchi walihudhuria hafla ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani leo jijini Dra es Salaam. Aliyeshikilia maiki ni Makamu Mwenyekiti kamati ya maaandalizi ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Jerome Ringo leo jijini Dra es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote” 4
Baadhi ya waandamanaji  wa  wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni  wakianadamana kuelekea Viwanja vya  Mwembe Yanga leo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
5
Bendi ya Jeshi la Polisi ikiiongoza maandamano ya wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam ikiongozwa na Koplo Ashura Said akifuatiwa na  ASP Mayala Kulwa. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
8
Askari wa usalama barabarani wakiwa kwenye kwenye pikipiki kwenye maanadamano ya wiki ya usalama barabarani . Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”. 10Baadhi ya madereva waendeshapikipiki maarufu kama “bodaboda” wakimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (hayupo pichani) kwenye uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani ikiongozwa na kauli mbiu  “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote” 12
Kikundi cha polisi wakitumbuiza kwa mindoko ya “makhirikhiri”wakati wa uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani ikiongozwa na kauli mbiu  “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
(Picha zote na Eleuteri Mangi- Maelezo)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top