Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho ya
Sulgo Sokoni yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa ikishirikiana na Shirika la GTZ la Ujerumani kwenye
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Septemba 18, 2013. Kushoto ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama machapisho mbalimbali yanayohusu uongozi
baada ya kufungua maonyesho ya Sulgo Sokoni yaliyoandaliwa na Ofisi ya
Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ikishirikiana na
Shirika la GTZ la Ujerumani kwenye hoteli ya Serena jijini Dar. Kushoto
ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimvalisha beji Mkaguzi wa ndani aliyesajiliwa
kutoka kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tubagile Namwenje baada
ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakaguzi wa Ndani kwenye Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa AICC jijini Arusha , Septemba 18, 2013.
Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment