Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI.

IMG_2203
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_2214
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania  Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga
Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_2253
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani
Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,baada ya mazungumzo yao leo,alipofika
 Ikulu Mjini Zanzibar  kumuaga Rais,akiwa amemaliza  muda wake wa kazi
Nchini. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top