Rais Dkt Jakaya Kikwete akitembea
kwa miguu kutoka hotelini kwake kuja kwenye Ubalozi wa Tanzania
Marekani siku ya Jumatano Sept 18, 2013 na kukutana na Mabaozi wa
Heshima ambao jana Jumatano wasaini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa
heshima wataofanyakazi wakiiitangaza Tanzania nchini Marekani kwa ajili
ya uwekezaji, Utalii na mambo mengine yatakayosaidia kuinua uchumi wa
Tanzania.
Rais Dkat Jakaya Kikwete
akisalimiana na Maafisa Ubalozi wakiwemo wafanyakazi mara tu alipoingia
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo barabra ya 22, Washington, DC
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini
kitabu cha wageni huku Mhe. Waziri Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata
Mulamula wakishuhudia.
Raus Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama William alipokua akiingia chumba cha mikutano cha Nyerere
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa Mabalozi wa Heshima
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Kjell Bergh kutoka Minnesota
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon Ahmed Issa kutoka California
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea
machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza
Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao
na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza
Tanzania nchini Marekani.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokea
zawadi ya saa kutoka kwa Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake
kutoka Michigan. Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
Post a Comment