Mkurugenzi
wa ZBC Ndugu Hassan Mitawi akiwapatia maelezo baadhi ya wajumbe wa
Baraza la Wawakilishi kuhusu matangazo kutoka kwenye analog kwenda
kwenye Digitali katika ofisi za ZBC Radio Rahaleo Mjini Zanzibar leo.
Muhariri
Mkuu wa Shirika la Magazeti Bw. Abdalla Moh’d akiwaonyesha wajumbe wa
Baraza la Wawakilishi jinsi utayarishaji wa gazeti kabla ya kuprintiwa,
katika ziara ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Rahaleo Mjini Zanziabr
leo.
Picha na Dula Chaz wa Maelezo Zanzibar.
Post a Comment