Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC

 


IMG_4299
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga  Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_4310
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC
Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top