Mradi wa maji wa kijiji cha Gykrum, Karatu Mjini, mkoani Arusha. Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA), Bi. Ruth Koya
akisoma hotuba fupi mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na Naibu
Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge.
Waziri
Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akifungua rasmi jiwe la msingi katika mradi wa
maji wa kijiji cha Gykrum, Karatu Mjini, mkoani Arusha.
Jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Gykrum, Karatu Mjini, mkoani Arusha.
Jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Gykrum, Karatu Mjini, mkoani Arusha
Post a Comment