Mtu Ambaye
jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti
mara Amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha
mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo
eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza kwenye eneo
hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia
juu ya mtu .
Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.
Post a Comment