Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA SALMA KIKWETE AWASILI MKOANI NJOMBE


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Binti Witness Mwalongo anayesoma Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Mpechi iliyopo Mjini Njombe mara tu baada ya kuwasili Rest House mjini hapo tarehe 17.10.2013. Mama Salma yupo Mkoani Njombe akifuatana na Rais Kikwete aliye katika ziara ya kuutembelea mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 17.10 hadi 23.10.2013. PICHA NA JOHN LUKUWI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top