Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

 

DSC_0662
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa kikao chake na viongozi wa Tume mapema leo.
DSC_0668
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bernadetta Gambishi akichangia hoja wakati wa kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bwana Fanuel Mbonde na viongozi wa Tume leo. DSC_0673
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bwana Fanuel Mbonde akiongea katika kikao chake na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hii leo wakati wa ziara yake fupi katika taasisi hiyo iliyopo mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji Kiongozi (mstaafu), Amiri Ramadhani Manento na Katibu Mtendaji wa Tume, Bibi Mary Massay. Lengo la ziara hiyo fupi lilikuwa kufahamiana, kubadilishana mawazo na kukumbushana mambo muhimu.
Picha zote na Mbaraka Kambona wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top