Promota wa mpambano wa masumbwi Kaike
Siraju katikati akimwinua mkono juu bondia Mohamed Matumla baada ya
kumkabidhi pikipiki yake kwa kumshinda Nasibu Ramadhani wakati wa
sikukuu ya krismas na kuibuka na bodaboa hiyo kushoto ni Baba wa bondia
huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa G S Group
Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao wametoa pikipiki
hiyo,Bruce Shi .
|
Promota wa
mpambano wa masumbwi Kaike Siraju katikati akimpongeza bondia Mohamed
Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake kwa kumshinda Nasibu Ramadhani
wakati wa sikukuu ya krismas na kuibuka na bodaboda hiyo kushoto ni
Baba wa bondia huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa
G. S Group Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao wametoa
pikipiki hiyo,Bruce Shi.
|
|
Meneja
Mkuu wa G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao
wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi akimpongeza bondia Mohamed Matumla baada
ya kumkabidhi bod |
on Sunday, December 29, 2013
Post a Comment