Jaji
Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate kwa waumini wa
Kanisa la Anglikana baada ya kupewa Daraja la Ukasisi katika Kanisa
la Anglikana lililopo Mkunazini mjini Zanziabar jana,pamoja na mambo
mengine Jaji Augustino amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar na Tanzania,
Brigedia
Jenerali wa JWTZ pia amewahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na
Mahakama ya Afrika Mashariki. Picha na Sahim
Shao
on Sunday, December 29, 2013
Post a Comment