WAZIRI
wa nchi ofisi ya rais anayeshughulikian utawala bora George Mkuchika
amezitaka nchi za Afrika kujenga umoja na kupeana uzoefu
katika vita vya kupambana na rushwa huku nchi hizo z ikitakiwa kujenga sera za uwazi kwenye sekta nzima ya rasilimali ili waweze kunufaika nazo ikiwa ni pamoja na kupaza sauti moja kuomba kurejeshwa kwa fedha zilizoko nje ya bara la afrika.
Mkuchika alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akifunga na kusherehekea maadhimisho ya siku ya umoja wa mataifa ya mapambano dhidi ya rushwa yaliyofanyika jini hapa.
Alisema kuwa umoja una nguvu katika kupambana na rushwa hivyo ili kuhakikisha kuwa swala hilo linatokomezwam nchi za afrika zinapaswa kutekelza kwa vitendo mkataba wa umoja wa afrika dhidi ya rushwa kwa kila nchi kujiunga moja kwa moja kwa kutoa uzoefu juu ya mapambano dhidi ya rushwa ambayo yameonekana kurudisha nyuma maendeleo ya bara la Afrka.
Alieleza kuwa pamoja na chi za Ulaya kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya rushwa lakini nchi hizo zimekuwa zikikumbatia
Uhamishaji wa fedha kutoka bara la afrika na kukaa kimya kilawanapotakiwa urejeshwaji wa fedha zilizopo kwenye mataifa hayo.
Aidha alifafanua kuwa nchi 30 zimesaini mkataba wa umoja wa mataifa wa mapambano dhidi ya rushwa kati ya nchi 44 zinazotakiwa kusain
mkataba huo hivyo kuzitaka nchi zilizobaki kujiunga na umoja huo ili kuliletea maendeleo bara la afrika na kuwa na sauti moja ya mapambano dhidi ya rushwa huku akizitaka nchi za bara la afrika kutambua kuwa mapambano si ya rushwa si ya mtu moja bali ya watu wote.
Nae mkurugenzi wa takukuru
nchini Drt Edward Hosea alisema kuwa bara la afrika bado lina safari
ndefu katika mapambano ya vita vya rushwa kwani kati ya nchi za afrika
34 kati ya 44 ndizo amabzo zimesaini mkataba wa mapambano ya rushwa huku
akidai kuwa mikataba mingi inaingia kwenye rasilimali za nchi za bara
la afrka haina uwazi na sheria zinazotumika hazimnufaishi mwananchi wa
kawaida dhidi yamapambano ya rushwa.katika vita vya kupambana na rushwa huku nchi hizo z ikitakiwa kujenga sera za uwazi kwenye sekta nzima ya rasilimali ili waweze kunufaika nazo ikiwa ni pamoja na kupaza sauti moja kuomba kurejeshwa kwa fedha zilizoko nje ya bara la afrika.

Post a Comment