Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Adam Mchomvu, B12 na Dj Fetty warejea Katika kipindi cha XXL

 


Adam Mchovu, B12 na Dj Fetty
Ni wiki chache sasa tangu uvumi na tetesi zilizozagaa kila mahali kuwa watangazaji wa clouds Fm "B12, Adam Mchomvu, Dj Fetty na Diva" kuwa wamefukuzwa kazi na uongozi wa radio hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.
 
Lakini leo katika kipindi cha XXL watangazaji hawa wamesikika tena baada ya muda mrefu kutokuwa hewani, kitu kilicho pelekea tetesi hizo kuaminika kuwa ni kweli.

kupitia mtandao wa twitter B Dozen(B12) amendika maneno haya  

"WE BACK AGAIN In BIZNEZ..Double XL Kwa Hewa with B Dozen , fetty,Baba Jonii,Dj Steve B Mpaka kumi za jioni, Along side DeeAndy n Soudy Brown"

Dj Fetty naye ameandika "I think everyone should experience defeat at least once during their career. You learn a lot from it."  

na kumalizia katika tweet nyingine akisema "expect what u have missed for a while now....my voice..xxl baby".Credit: BONGO TODAY WEBSITE
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top