Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na mgeni wake Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad. Ikulu Dar.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif
Hamad, alipofika Ikulu Dar kuonana na Rais Kikwete (Picha na Salmin Said
OMKR)
Post a Comment